Our Services

Our Services

VIWAN JA NA MASHAMBA
Tunauza Viwanja kwa Mkopo Usio na riba wala dhamana, Bei zetu ni Nafuu sana. Viwanja vinapatikana katika maeneo tofauti hapa nchini Tanzania, Utalipia kidogo kidogo mpaka mwaka mzima.Viwanja vyetu vinamilikiwa na kampuni na umilikishwaji unafuata sheria na taratibu za halmashauri zetu nchini. Tunawakaribisha watu wote kwa huduma hii bora na yenye uhakika.

UJENZI
Kampuni yetu inatoa huduma za ushauri wa ujenzi ,na ujenzi wa kisasa sambamba na uchoraji wa ramani, makadirio na utayarishaji wa michoro ya nyumba. Bei zetu ni Nafuu sana. Tunajenga Nyumba za Kisasa za Ghorofa na za kawaida kwa viwango vya hali ya juu